Home VideosBoniface Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 2

Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 2

by komzinski

Baada ya kuwatambulisha kwa Episode ya kwanza ya Tamthilia ya Mr. Boniface, Episode hii ya pili inaangazia wanafunzi wa Mr. Boniface, katika Darasa la 2A Shule ya Bonde Ziwi. Kama nilivyotangulia hapo awali, Wanafunzi wa Mr. Boniface ni Mang’aa na wamekuwa wakimpa stress sana.

 

Mr. Boniface – Season 1 Episode 2: Noisemakers eating Bhajia

Utunzi wa Tamthilia ya Mr. Boniface

Mr Boniface ni utunzi wake Marvin Brudas, Director wa Filamu katika Kampuni ya Undepicted Films. Amewashirikisha wanafunzi wa Upweoni Primary school na Wasanaa wa Tujumuike Talents Entertainment Group. Muigizaji mkubwa ni Mafishy Masamaki. Mafishy ni muigizaji na mtangazaji maarufu katika redio moja mjini Malindi inayojulikana kama Radio Jahazi

[wp_show_posts id=”12835″]


Discover more from Malindians

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

You may also like

Leave a Comment

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More