Home PEOPLE OF MALINDI

PEOPLE OF MALINDI

The biggest attraction of the town of Malindi is People. They are the nicest people on earth and always make you feel welcomed. Here is a segment that showcases the unique stories of the People of Malindi. Some of these people are talented artists, musicians, entrepreneurs, fathers, mother and so on and so forth.

Jina la kwangu kwa mziki ni Mc Newton mzaliwa wa Malindi. Newton sio jina nilopewa wa wazazi kwa jina lao waniita Lewis ambapo kwa bidii ki mziki watu wakifika nyumbani huulizia Newton basi ikawa lazimu paka leo huniita Newton. Mziki...
Haifa AbdulHakim is one of the daughters of Malindi. Having born and raised in Malindi, she finds pride in everything about Malindi. She was born in the early 1990s and schooled in Central Primary School and Malindi Progressive school,...
Ghazah Street Don , ni mwanamuziki anaye fanya hiphop na Rnb mjini Malindi Kenya huku akijivunia kuja na mtindo wake spesheli wa reggae RnB. Faris Saraya Kombe, kama anavyojulikana rasmi ni mzaliwa na mkazi wa mji wa Malindi, mitaa ya...
Passion AYK Music

Passion AYK

Passion ama "Passion AYK" kama alivyokuwa akijulikana kipindi cha nyuma ni msanii na producer wa mziki wa mtindo wa hiphop na RnB. Passion mkaazi wa mji wa Malindi, kulingana wa kumbukumbu za serikali, anafahamika kama Felix Onyango Ondeji. Passion amekuwa...
Producer Sango

Producer Sango

Anajulikana kama Ramadhan Athman Salim, majina ambayo yamwo katika kitambulisho cha taifa. Lakini katika ulingo wa sanaa anatambulika kama Sango. Sango ni mzaliwa na mkazi wa mji wa Malindi. Jina la Sango anavyosema yeye limetokana na wimbo uliopenda sana na...
Swaleh Abdulrehman, who is popularly known by his stage name, Swanky~OTr, is a Malindi-based artiste who has managed to take his music career to greater heights over the past two years. Swanky  describes his style as that which shines and...
Bryba ni msanii wa kuimba kutoka mji wa Watamu katika kaunti ya Kilifi. Safari ya msanii Bryba katika ulingo wa sanaa ya kuimba ilianza tu baada ya kumaliza masomo ya shule ya upili mwaka wa 2013. Tangu hapo ameweza kufanya...
cfree chrisborn

Cfree Chrisborn

Fred Chrisborn aka Cfree is a Malindi Based recording and performing artist. As a musician, he has done a different single of several genres including Zouk, Rhumba, RnB, and Crunk. Stage Name Born on Christmas, Fred was named Chrisborn and he derived...
asfat on malindians

Asfat AbdulRazaq

Coming from a rather conservative community in Malindi, most especially ladies from the Swahili community are “confined” from being stylish and keeping up with trend unless attending weddings. This has made ASSY aspire to change how our community sees fashion. She...
The global music industry as you all know is not a new stage for women or the girl child. There have been notable female artists that have been doing music for quite a lot of time such as Eve,...

Editor Picks

Bloggers Association of Kenya Tracker