Tamthilia ya Mr. Boniface imerudi Tena! Toleo la nne limetoka kwa Jina Noisers Wambea. Bonyenza hapa kama hujapata Nafasi ya Kuangalia tolea la kwanza, la pili na la tatu. Bonyenza…
Mr Boniface
-
-
Mr. Boniface ni tamthilia fupi iliyotengenezwa mjini Malindi. Inazungukia maisha ya mwalimu Boniface aka Mr.Boniface, ambaye ni mwalimu wa somo la hesabati katika shule ya msingi ya Bonde Ziwi. …