Baada ya kuwatambulisha kwa Episode ya kwanza ya Tamthilia ya Mr. Boniface, Episode hii ya pili inaangazia wanafunzi wa Mr. Boniface, katika Darasa la 2A Shule ya Bonde Ziwi. Kama nilivyotangulia hapo awali, Wanafunzi wa Mr. Boniface ni Mang'aa...
Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja masikio yetu yamezoea sauti ya mtangazaji, Shampuzi katika stesheni mpya kabisa katika mji wa Malindi, Radio Jahazi. Mtangazaji Shampuzi, amewateka wasikizaji hasa masaa ya jioni. Mtandao wa malindians.com umepata habari kuhusu kuondoka kwake kwenye...
Mr. Boniface ni tamthilia fupi iliyotengenezwa mjini Malindi. Inazungukia maisha ya mwalimu Boniface aka Mr.Boniface, ambaye ni mwalimu wa somo la hesabati katika shule ya msingi ya Bonde Ziwi. [youtube https://www.youtube.com/watch?v=wJ14pafTDMo]   Shule ya Msingi ya Bonde Ziwi inanikumbusha jinsi shule za...
Celebrity Saturday ni tamasha ambalo linaandaliwa kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi. Ni tamasha ambalo linajumuisha kazi tofauti tofauti za wasanii tofauti tofauti. Sanaa ni moja wapo wa vitu muhimu katika kila jamii. Msanii ni kioo cha jamii na hapa jamii...

Editor Picks

Bloggers Association of Kenya Tracker