Spices
The Ultimate Guide to Coriander(Dania in English)
Coriander( Dania in English) or dhania, a herb with an impressive legacy, is far more than just a kitchen staple. Known scientifically as Coriandrum sativum,...
20 posts found
Spices
Coriander( Dania in English) or dhania, a herb with an impressive legacy, is far more than just a kitchen staple. Known scientifically as Coriandrum sativum,...
Recipes
If you’ve ever encountered the word “Iliki” and wondered what it means in English, you’re not alone! This aromatic spice is widely used in cooking,...
Mapishi
Keki ya kikombe ni keki ndogo iliyoundwa kumtumikia mtu mmoja, ambayo inaweza kuoka katika karatasi ndogo nyembamba au kikombe cha aluminium. Kama ilivyo na keki...
Mapishi
Mahitaji ya kutengeneza keki ya nanasi Nanasi vipande 6 Yai moja Maziwa kikombe kasoro Chumvi nusu kijiko kidogo Siagi thuluthi kikombe Sukari kikombe kimoja Namna...
Mapishi
Mahitaji/Vipimo vya Kutengeneza Podini Mayai 4 Maji vikombe viwili na nusu Maziwa ya unga vikombe viwili Sukari nusu kikombe Vanilla kijiko kimoja cha chai Namna...
Mapishi
Mahitaji Kamba (Prawns) 500g Pilipili manga (Black Pepper) ½ kijiko kikubwa Kitunguu swaumu 1 Limau 1 Chumvi kijiko kidogo cha chai Curry powder kijiko 1...
Mapishi
Jinsi ya kutengeneza Mahamri ya kusuka la maziwa Mahitaji Unga ngano nusu kilo Maziwa robo Sukari nusu kikombe Maziwa robo lita Hamira kijiko kimoja kidogo...
Mapishi
Vipimo vya kuandaa Katlesi za Samaki Viazi – 5 kiasi Tuna – 2 vikopo Carrot – 1 Pilipili mboga – Nusu Kitunguu saumu(thomu/garlic) – ½ kijiko...
Mapishi
Vipimo Unga – 2 gilasi Siagi – 1 pound Sukari – 1 pound Mayai – 10 – 12 Baking powder – 1 kijiko cha supu Vanila...
Mapishi
Wadau wa jiko letu, leo tuna visheti. Visheti ni aina ya kitafunwa, chaweza liwa na kahawa, chai, juisi na hata maji . Ila kwa chai...