Sambusa za nyama ya Kuku

0
1785
Sambusa - Recipes na Mapishi ya watu wa Malindi kenya - malindians.com

Upishi wa watu wa Malindi wa sambusa au samosa kama baadhi ya watu wanavyoita yametajwa kuanzia enzi za karne ya 13 na 14 katika hadithi na ngano za wasafari waliofanya biashara Bara ya Asia. Mtu tajika aliyezungumzia sambusa ni Abolfazl Beyhaqi (995-1077). Siwezi sema ni miaka gani sambusa zilianza Africa Mashariki ila najua zilikuja na wasafiri wa meli kutoka Bara Arabu na Asia.

Sambusa - Recipes na Mapishi ya watu wa Malindi kenya - malindians.com samosa

See also:   Chocolate Brownies - Recipe za Watu wa malindi