Juisi ya nanasi na tango
Mapishi

Juisi ya nanasi na tango

komzinski
komzinski Travel Writer & Local Guide
Apr 19, 2020 5 min read 25 views

Juisi ya nanasi na tango ni moja wapo ya juisi yenye manufaa mengi mwilini. Licha na maoni tofauti, watu wengi wanaamini kuwa tango ni boga. Lakini tango ni tunda.

Je Tango ni nini?

Tango ni tunda lenye wingi wa virutubisho pamoja na madini kadhaa ambayo yanasaidia kutibu na kuzuia hali kadhaa ndani ya mwili.

tango - juisi ya nanasi na tango

Vile vile, matango yako na kalori chache, kiasi kizuri cha maji na nyuzi , na hivyo kuzifanya kuwa bora kwa kuongeza kiwango cha maji mwilini na kusaidia kupunguza uzito.

Mahitaji na vipimo vya kutengeneza Juisi ya nanasi na tango

i. Nanasi – 6 slesi
ii. Majani ya Mint – 6

iii. Tango – 1 la kiasi

iv. Sukari – ½ Kikombe ( au usiweke )

iv. Barafu – Kiasi

 


Discover more from Malindians

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Enjoyed this article?

Subscribe to get more stories like this delivered to your inbox every week.