About Mr. Man Wote
Nguma kalama maarufu kama Mr Man Wote ni msanii wa hip hop na filamu. Amewahi kuonekana kwenye filamu ya Koloa iliotayarishwa na Gift Payne pamoja na Ogutu Atata’s Uzito wa hisia filamu iliotayarishwa na Ogutu Atata mjini Malindi.
Harakati za kutafuta Maisha
Kando na talanta hiyo Mr wote anaaminika kuwa fundi wa vipande vya seruji( tiles) stadi mjini Malindi Kenya. Kama kijana kando na kuimba amejiajiri kwenye kazi hii na inampa kipato cha kusongeza maisha na Sanaa yake pia.
Discover more from Malindians
Subscribe to get the latest posts sent to your email.