Upishi wa watu wa Malindi wa sambusa au samosa kama baadhi ya watu wanavyoita yametajwa kuanzia enzi za karne ya 13 na 14 katika hadithi na ngano za wasafari waliofanya biashara Bara ya Asia. Mtu tajika aliyezungumzia sambusa ni Abolfazl Beyhaqi (995-1077). Siwezi sema ni miaka gani sambusa zilianza Africa Mashariki ila najua zilikuja na wasafiri wa meli kutoka Bara Arabu na Asia.
Sambusa za nyama ya Kuku
previous post