Travel guides
Drop doughnuts – Recipe za watu wa Malindi

Drop doughnuts /Donuts za kuchota
VIPIMO:
- Unga wa ngano vikombe 2¼
- Baking powder vijiko 2 chai
- Sukari ½ kikombe
- Chumvi ½ kijiko chai
- Ganda la chungwa 1 lilokunwa
- Kungu manga kijiko 1 chai
- Maziwa ½ kikombe
- Mayai 3
- Vanilla vijiko 2 chai
- Siagi iloyeyushwa/ mafuta ¼ kikombe
- Mafuta kiasi ya kukaangia
MAELEKEZO:
1. Changanya mahitaji yote katika bakuli kubwa kisha koroga vizuri hadi mchanganyiko ujichanganye vizuri na uwe smooth
2. Tia mafuta jikoni juu ya moto wa kiasi, mafuta yakipata moto tumia mkono au kijiko kuchota unga wako na kuudondosha katika mafuta ya moto taratibu.
3. Kaanga ukiwa wakoroga hadi zipate rangi ya brown pande zote mbili, ucjaze nyingi wakati wa kukaanga.
4. Zitoe katika mafuta kwa kutumia kijiko cha matundu zitie katia wire au sahani uloweka tissue juu zipate kuchuja mafuta.
5. Nyunyiza sukari ya unga ukipenda au pia weza chovya katika sauce yoyote upendayo kama chocolate sauce au caramel. Enjoy!
-
Lifestyle2 years ago
7 outfit ideas for men on Malindi Beaches
-
Events1 year ago
My take of 2nd Edition of the Malindi Business & Art Exhibition
-
Travel guides2 years ago
No bra day – the best reason to take it off
-
Travel guides1 year ago
7 Best hotels in Malindi to check out in 2020
-
PEOPLE OF MALINDI7 years ago
Iman Sidi Katanu
-
PEOPLE OF MALINDI2 years ago
Haifa AbdulHakim Awadh Timimi
-
Travel guides2 years ago
The Unsolved Mystery of Gedi Ruins
-
PEOPLE OF MALINDI3 years ago
Asfat AbdulRazaq