TAMBI ZA NAZI VIPIMO Tambi za Mchele Pakti 1 (400 mg) Tui la nazi Kikombe 1 Sukari Nusu kikombe, ukipenda ongeza kidogo Maziwa ya kopo (evaporated)...