Katoi wa Tabaka ni jina linaongelea kimo na miaka lakini sio mtazamo wenyewe ikilinganishwa na kichwa alichokibeba msanii huyu chenye uwezo mkubwa wa ubunifu na ujanja...