Vilabu vya densi mjini Malindi
Katika miaka ya 1980 na 1990 Malindi imeimarisha sifa kama mojawapo wa miji ya pwani ya Kenya inayoongoza kwa starehe. Mambo yamepungua kidogo miaka kadhaa ila sifa ya mji wa Malindi bado ipo pale pale. Malindi ni mji ambao umetawaliwa na watu wa kujivinjari ambao walikuwa wakicheza densi kwa mtindo tofauti tofauti. Siku hizi unaweza kuchagua kudensi kwa sauti za bendi iliyokuwa mubashara(live band) au ukaamua kutembelea vilabu ya densi vilivyojaa mjini
