Maembe au tunda la embe in mojawapo wa matunda ambayo yanafahamika na kupendwa na idadi kubwa ya watu. Watu wengi hula tunda hili la embe moja...
Joto na vuke kama wanavyosema wakaazi wa malindi ni kawaida ya “Malindi weather”. Wengi hupenda kujiburudisha na kinywaji baridi ili kupunguza makali ya jua. Juice na embe,...