Podini

Mahitaji/Vipimo vya Kutengeneza Podini

  • Mayai 4
  • Maji vikombe viwili na nusu
  • Maziwa ya unga vikombe viwili
  • Sukari nusu kikombe
  • Vanilla kijiko kimoja cha chai

Namna ya Kutayarisha Podini

Sasa weka mayai yako, maziwa ya unga, maji, sukari pamoja na vanilla alafu changanya na mixer kwa pamoja mpaka vitu vichanganyike vyote

We endeavor to keep our content True, Accurate, Correct, Original and Up to Date.If you believe that any information in this article is Incorrect, Incomplete, Plagiarised, violates your Copyright right or you want to propose an update, please send us an email to info@malindians.com indicating the proposed changes and the content URL(link). Provide as much information as you can and we promise to take corrective measures to the best of our abilities.

Share your thoughts in the comment below.

Bloggers Association of Kenya Tracker