Bloggers Association of Kenya Tracker
Connect with us

Mapishi

Mahamri ya kusuka na maziwa

Published

on

twisted bread recipe on Malindians

Mahamri ya kusuka la maziwa

Mahitaji

Unga ngano nusu kilo
Maziwa robo
Sukari nusu kikombe
Maziwa robo lita
Hamira kijiko kimoja kidogo
Samli vijiko viwili
Iliki robo kijiko kidogo iloyosagwa
Mafuta ya uto kijiko kimoja kidogo

Namna ya kupika

  • Unga na samli wauchanganya hadi uchanganyike vizuri kisha weka iliki yako
  • Tia hamira pamoja na maziwa, kanda mpaka unga ulainike
  • Kisha gawanya mara tatu, sokota zote tatu alafu zote tatu wafanya kama kuzisonga.
  • Ukishamaliza wachukua sufuria yako safi, wapaka mafuta yako kwa wembamba.
  • Wemba unga uliokandwa kwenye sufuria , oka kwa muda wa takriban dakika ishirini.
  • Andaa kwa chai ya maziwa
READ  Bhajia za Kunde

Komzinski ni mfanyakazi katika shirika lisilo la kiserikali la Northern Rangelands Trust (NRT). Anapenda mazingira na kujifunza kuhusu tamaduni mbali mbali kupitia safari na pilkapilka zake nyingi

Comments

Facebook

Proud Member

Bloggers Association of Kenya Badge
Advertisement

Trending

Bloggers Association of Kenya Tracker
%d bloggers like this: