Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 4

Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 4

Tamthilia ya Mr. Boniface imerudi Tena! Toleo la nne limetoka kwa Jina Noisers Wambea. Bonyenza hapa kama hujapata Nafasi ya Kuangalia tolea la kwanza, la pili na la tatu.

Bonyenza hapa kama hujapata nafasi ya kuangalia tolea za Tamthilia ya Mr. Boniface

Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 2

Baada ya kuwatambulisha kwa Episode ya kwanza ya Tamthilia ya Mr. Boniface, Episode hii ya pili inaangazia wanafunzi wa Mr. Boniface, katika Darasa la 2A Shule ya Bonde Ziwi. Kama nilivyotangulia hapo awali, Wanafunzi wa Mr. Boniface ni Mang’aa na wamekuwa wakimpa stress sana.

 

Mr. Boniface – Season 1 Episode 2: Noisemakers eating Bhajia

Utunzi wa Tamthilia ya Mr. Boniface

Mr Boniface ni utunzi wake Marvin Brudas, Director wa Filamu katika Kampuni ya Undepicted Films. Amewashirikisha wanafunzi wa Upweoni Primary school na Wasanaa wa Tujumuike Talents Entertainment Group. Muigizaji mkubwa ni Mafishy Masamaki. Mafishy ni muigizaji na mtangazaji maarufu katika redio moja mjini Malindi inayojulikana kama Radio Jahazi

mr.boniface

Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 1

Mr. Boniface ni tamthilia fupi iliyotengenezwa mjini Malindi. Inazungukia maisha ya mwalimu Boniface aka Mr.Boniface, ambaye ni mwalimu wa somo la hesabati katika shule ya msingi ya Bonde Ziwi.

 

Shule ya Msingi ya Bonde Ziwi inanikumbusha jinsi shule za msingi zilivyokuwa miaka ya 90, wakati walimu walitumia viboko kuwatia nidhamu wanafunzi waliokuwa na vichwa vigumu.

Mr. Boniface Season 1 Episode 1

Katika episode hii ya kwanza, Mr. Boniface anatambulishwa kama Mwalimu wa hesabu asiyependa mchezo hata kidogo. Darasa lake la sita liko na wanafunzi wa aina tofauti; waliokuwa na bidii darasani na wale ambao wako na shida tele majumbani ambazo zimewafanya kukosa makini wakiwa darasani. Mr Boniface, hachelei kutumia kiboko kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi amenyooka.

Bloggers Association of Kenya Tracker