Bloggers Association of Kenya Tracker
Connect with us

Recipes

Twisted milk bread – Recipe za Watu wa malindi

Published

on

twisted bread recipe on Malindians

Twisted milk bread

Ingredients
¼ kg flour
¼ litre milk
½ cup Sugar
1teaspoon active dry yeast
1 teaspoon cooking oil
1 teaspoon cardamom 
2 teaspoon fat

Method
In a large glass bowl pour the flour and rub in the fat.
Add yeast, sugar and cardamom. Use milk in the kneading process until all the ingredients are evenly distributed.
Knead until smooth and elastic
Divide the dough into three portions; shape each portion into 13inch rope. Place ropes on a greased baking sheet and braid.
Pinch ends to seal and tuck under.
Bake at 375 degrees for 20minutes.
Serve with tea

Hamri la kusuka la maziwa

Mahitaji

Unga ngano nusu kilo
Maziwa robo
Sukari nusu kikombe
Maziwa robo lita
Hamira kijiko kimoja kidogo
Samli vijiko viwili
Iliki robo kijiko kidogo iloyosagwa
Mafuta ya uto kijiko kimoja kidogo

Namna ya kupika

Unga na samli wauchanganya hadi uchanganyike vizuri kisha weka iliki yako
Tia hamira pamoja na maziwa, kanda mpaka unga ulainike
Kisha gawanya mara tatu, sokota zote tatu alafu zote tatu wafanya kama kuzisonga.
Ukishamaliza wachukua sufuria yako safi, wapaka mafuta yako kwa wembamba.
Wemba unga uliokandwa kwenye sufuria , oka kwa muda wa takriban dakika ishirini.
Andaa kwa chai ya maziwa

READ  Mithai (Mitai) - Delicious Swahili Yeast Pastry

Komzinski is a Research and Monitoring Assistant at the Northern Rangelands Trust (NRT). He enjoys the outdoors and travelling. When not travelling, Athuman enjoys volunteering at the local beach management unit, playing soccer, and coding together with friends planning on their next tech startup project.

Comments

Facebook

Proud Member

Bloggers Association of Kenya Badge
Advertisement

Trending

Bloggers Association of Kenya Tracker
%d bloggers like this: