Swahili Pudding – Recipe za Watu wa Malindi

0
1192
swahili pudding - recipes on Malindians.com

Puddings are one of the tastiest and favourite desserts in the Kenyan coast. Malindi, like every other corner of this world, has a recipe for pudding.

Swahili Pudding

Ingredients
4 eggs
2 ½ cups water
2 cup milk powder
1 teaspoon vanilla essence

Methods
1. Beat the eggs well in a bowl
2. Add the milk powder well mixed with water to the eggs together with the rest of the ingredients. 
3. Mix well (preferably with a hand mixer)

Podini

Mahitaji/Vipimo
Mayai 4
Maji vikombe viwili na nusu
Maziwa ya unga vikombe viwili
Sukari nusu kikombe
Vanilla kijiko kimoja cha chai

Namna ya Kutayarisha
Sasa weka mayai yako, maziwa ya unga, maji, sukari pamoja na vanilla alafu changanya na mixer kwa pamoja mpaka vitu vichanganyike vyote

See also:   Mikate Ya Maji Ilojazwa Nutella - Malindi Recipes