Connect with us

Recipes

Juisi ya nanasi na tango

Published

on

juisi ya nanasi na tango

Juisi ya nanasi na tango ni moja wapo ya juisi yenye manufaa mengi mwilini. Licha na maoni tofauti, watu wengi wanaamini kuwa tango ni boga. Lakini tango ni tunda.

Je Tango ni nini?

Tango ni tunda lenye wingi wa virutubisho pamoja na madini kadhaa ambayo yanasaidia kutibu na kuzuia hali kadhaa ndani ya mwili.

tango juisi ya nanasi na tango - Juisi ya nanasi na tango

Vile vile, matango yako na kalori chache, kiasi kizuri cha maji na nyuzi , na hivyo kuzifanya kuwa bora kwa kuongeza kiwango cha maji mwilini na kusaidia kupunguza uzito.

Mahitaji na vipimo vya kutengeneza Juisi ya nanasi na tango

i. Nanasi – 6 slesi
ii. Majani ya Mint – 6

iii. Tango – 1 la kiasi

iv. Sukari – ½ Kikombe ( au usiweke )

iv. Barafu – Kiasi

 

Juisi ya nanasi na tango
juisi ya nanasi na tango - Juisi ya nanasi na tango

Juisi ya nanasi na tango ni moja wapo ya juisi yenye manufaa mengi mwilini. Licha na maoni tofauti, watu wengi wanaamini kuwa tango ni boga. Lakini tango ni tunda.

See also:   Top 6 things to do in Malindi Kenya while on vacation

Type: Juice

Cuisine: Swahili

Keywords: Juisi, juice, cucumber juice, juisi ya nanasi na tango

Recipe Yield: 4

Calories: 200

Preparation Time: 10M

Cooking Time: 5M

Total Time: 15M

Recipe Video Description: Juisi ya nanasi na tango ni moja wapo ya juisi yenye manufaa mengi mwilini. Licha na maoni tofauti, watu wengi wanaamini kuwa tango ni boga. Lakini tango ni tunda. 

Recipe Ingredients:

  • Nanasi - 6 slesi
  • Majani ya Mint - 6
  • Tango - 1 la kiasi
  • Sukari - ½ Kikombe ( au usiweke )
  • Barafu - Kiasi

Recipe Instructions: i. Katakata nanasi na tango vipande vipande.ii. Kisha tia kwenye mashine ya kusagia pamoja na sukari na vipande vya barafu.iii. Ikiwa nzito sana ongeza maji.iv. Mimina katika gilasi KIDOKEZO : Vipimo hivi ni vya kupata takriban gilasi 5 au 6.

Recipe Instructions:

Namna ya kutayarisha Juisi ya nanasi na tango: i. Katakata nanasi na tango vipande vipande.ii. Kisha tia kwenye mashine ya kusagia pamoja na sukari na vipande vya barafu.iii. Ikiwa nzito sana ongeza maji.

See also:   7 Outfit Ideas for Women on Malindi Beaches in 2020
iv. Mimina katika gilasi KIDOKEZO : Vipimo hivi ni vya kupata takriban gilasi 5 au 6.

Editor's Rating:
4

Komzinski is a Research and Monitoring Assistant at the Northern Rangelands Trust (NRT). He enjoys the outdoors and travelling. When not travelling, Athuman enjoys volunteering at the local beach management unit, playing soccer, and coding together with friends planning on their next tech startup project.

Comments
Bloggers Association of Kenya Tracker