PEOPLE OF MALINDI

The biggest attraction of the town of Malindi is People. They are the nicest people on earth and always make you feel welcomed. Here is a segment that showcases the unique stories of the People of Malindi. Some of these people are talented artists, musicians, entrepreneurs, fathers, mother and so on and so forth.

swanky otr on malindians

Swanky Otr – How to Make it in Music and photography

Swaleh Abdulrehman, who is popularly known by his stage name, Swanky~OTr, is a Malindi-based artiste who has managed to take his music career to greater heights over the past two years. Swanky  describes his style...
Passion AYK Music

Passion AYK

Passion ama "Passion AYK" kama alivyokuwa akijulikana kipindi cha nyuma ni msanii na producer wa mziki wa mtindo wa hiphop na RnB. Passion mkaazi wa mji wa Malindi, kulingana wa kumbukumbu za serikali, anafahamika...
Ghazah street don - malindians.com

Ghazah Street Don – Kutumia mziki kuhamasisha Jamii

Ghazah Street Don , ni mwanamuziki anaye fanya hiphop na Rnb mjini Malindi Kenya huku akijivunia kuja na mtindo wake spesheli wa reggae RnB. Faris Saraya Kombe, kama anavyojulikana rasmi ni mzaliwa na mkazi wa...
cfree chrisborn

Cfree Chrisborn

Fred Chrisborn aka Cfree is a Malindi Based recording and performing artist. As a musician, he has done a different single of several genres including Zouk, Rhumba, RnB, and Crunk. Stage Name Born on Christmas, Fred was...
Producer Sango

Producer Sango

Anajulikana kama Ramadhan Athman Salim, majina ambayo yamwo katika kitambulisho cha taifa. Lakini katika ulingo wa sanaa anatambulika kama Sango. Sango ni mzaliwa na mkazi wa mji wa Malindi. Jina la Sango anavyosema yeye limetokana...
asfat on malindians

Asfat AbdulRazaq

Coming from a rather conservative community in Malindi, most especially ladies from the Swahili community are “confined” from being stylish and keeping up with trend unless attending weddings. This has made ASSY aspire to change how...
bryba malindi kenya

Bryba – Msanii kutoka Watamu

Bryba ni msanii wa kuimba kutoka mji wa Watamu katika kaunti ya Kilifi. Safari ya msanii Bryba katika ulingo wa sanaa ya kuimba ilianza tu baada ya kumaliza masomo ya shule ya upili mwaka wa...
Iman Sidi Katanu

Iman Sidi Katanu

If the saying “a picture is worth a thousand words” could be exchanged into words on paper, this video vixen would be equal to a whole library of encyclopedia for her love of photographs...
Katoi wa Tabaka - malindias

Katoi Wa Tabaka – Malindi Music

Katoi wa Tabaka ni jina  linaongelea kimo na miaka lakini sio mtazamo wenyewe ikilinganishwa na kichwa alichokibeba msanii huyu chenye uwezo mkubwa wa ubunifu na ujanja wa hali ya juu. Katoi wa Tabaka anajulikana rasmi...
burning ice - people of malindi Malindians 001

Burning ice – Most Promising Artist 100 km around Malindi Airport

Malindi Airport is an iconic landmark. I have decided to use Malindi airport as a reference to the larger area surrounding it in regard to the promising career of Burning Ice as an artist...