Mahitaji/Vipimo vya Kutengeneza Podini
- Mayai 4
- Maji vikombe viwili na nusu
- Maziwa ya unga vikombe viwili
- Sukari nusu kikombe
- Vanilla kijiko kimoja cha chai
Namna ya Kutayarisha Podini
Sasa weka mayai yako, maziwa ya unga, maji, sukari pamoja na vanilla alafu changanya na mixer kwa pamoja mpaka vitu vichanganyike vyote