Juisi ya nanasi na tango ni moja wapo ya juisi yenye manufaa mengi mwilini. Licha na maoni tofauti, watu wengi wanaamini kuwa tango ni boga. Lakini tango ni tunda.
Je Tango ni nini?
Tango ni tunda lenye wingi wa virutubisho pamoja na madini kadhaa ambayo yanasaidia kutibu na kuzuia hali kadhaa ndani ya mwili.
Vile vile, matango yako na kalori chache, kiasi kizuri cha maji na nyuzi , na hivyo kuzifanya kuwa bora kwa kuongeza kiwango cha maji mwilini na kusaidia kupunguza uzito.
Mahitaji na vipimo vya kutengeneza Juisi ya nanasi na tango
i. Nanasi – 6 slesi
ii. Majani ya Mint – 6
iii. Tango – 1 la kiasi
iv. Sukari – ½ Kikombe ( au usiweke )
iv. Barafu – Kiasi
Discover more from Malindians.com
Subscribe to get the latest posts sent to your email.