Connect with us

Entertainment

Shampuzi atoka Radio Jahazi

Published

on

francis shaban shampuzi

Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja masikio yetu yamezoea sauti ya mtangazaji, Shampuzi katika stesheni mpya kabisa katika mji wa Malindi, Radio Jahazi. Mtangazaji Shampuzi, amewateka wasikizaji hasa masaa ya jioni.

francis shaban shampuzi malindians.com  - Shampuzi atoka Radio Jahazi

Mtandao wa malindians.com umepata habari kuhusu kuondoka kwake kwenye kituo hicho. Hivi ndivyo interview yetu na mtangazaji huyo ilivyoenda:

Malindians: Nakujua kama Shaban Shampuzi, yametoka wapi hayo majina?
Shampuzi: Shaaban Francis ni jina langu rasmi. Shampuzi limetokana na jina nililoanzia “Shaaban jamaa la upuzi “Hii ni baada ya kuwa na majina chungu nzima niliyokuwa nikitumia katika industry.

Malindians:Tuambie kuhusu kazi na taaluma:
Shampuzi: Nilianzia East Africa Institute of Certified Studies ambapo nilifanya diploma ya Mass Communication and Journalism kumalizia 2018. Already nimefanya kazi sehemu tofauti kama ETv, EATV, lulufm ndio nikafika jahazi.

Malindians: umekaa kwa kipindi kifupi Jahazi.
Shampuzi: si kipindi kifupi, nilianza kazi mwaka jana February. So kwa jumla nimemaliza mwaka mzima.

Malindians: so mbona unatoka na kutafuta “greener pastures”?
Shampuzi: Nahisi industry ya media bado iko chini. Na hata kama ina grow, ina grow at a very slow pace. Watu bado hawajatambua umuhimu wa media.

See also:   Celebrity Saturday at Stardust Malindi

Malindians: mumetokana kivipi, au ni pesa ndio shida?
Shampuzi: Tumeachana na Radio Jahazi vizuri sana. Industry ya Malindi haijaweza kulipa vizuri. Nataka kuangalia bahati yangu Nairobi. Kule mambo yamefunguka vizuri.

Malindians: Tuambie kuhusu wakati uliofanya na Radio jahazi
Shampuzi: Nimejifunza mengi, na nimepatana na watu wa tajriba tofauti tofauti. Hasa nimejifunza uvumilivu na namna ya kukaa na watu. Nimejifunza kuinteract na mafans na watu ambao sikudhania ningepatana nao.

Malindians: Your best moments
Shampuzi: Akifikiria: Nafikiria nikiwa na P3 sauti ya dhahabu (Omar Ngowa) tukifanya kipindi cha jioni cha Kijiweni Drive kila siku kuanzia saa kumi hadi saa mbili usiku. Tulikuwa na chemistry nzuri sana na mwenzangu. Pia mafans wetu wamekuwa pamoja sana na sisi hasa wakati wa gumzo huru kiasi cha kwamba muda huwa unaisha bila ya kutambua kabisa.

Malindians: Changamoto hazikosekani katika kila industry…
Shampuzi: Kazi inahitaji kuwa mbunifu sana. So wakati mwengine ilikuwa changamoto hasa pale ninapokuwa mgonjwa. Hii yote inawezekana unapofanya research ya hali ya juu kabisa.

See also:   Tamthilia ya Mr. Boniface - Season 1 Episode 1

Malindians: Unawaambia nini mashabiki wako?
Shampuzi: Ningewashukuru sana kwa kunipa fursa na support kwa kipindi nilipokuwa Jahazi. Ninachoahidi kuwa watarajie mambo makubwa kutoka kwangu na sitawaangusha.

Komzinski is a Research and Monitoring Assistant at the Northern Rangelands Trust (NRT). He enjoys the outdoors and travelling. When not travelling, Athuman enjoys volunteering at the local beach management unit, playing soccer, and coding together with friends planning on their next tech startup project.

Comments

Tags

Latest posts

Double omsome hihop malindi music Double omsome hihop malindi music
PEOPLE OF MALINDI3 weeks ago

Double OmSome

Double OmSome first encounter with music was way back while still in class two or three when he heard the...

Benefits of Cardamon (Iliki) - Spices & foods of Malindi Benefits of Cardamon (Iliki) - Spices & foods of Malindi
Recipes1 month ago

Benefits of Cardamon (Iliki) – Spices & foods of Malindi

Many households in Malindi, towns on the Kenyan coast, and East African Coast, in general, like to use the cardamon,...

Katlesi za Samaki Katlesi za Samaki
Recipes2 months ago

Katlesi za Samaki – Recipe za Ramadhan

Vipimo vya kuandaa Katlesi za Samaki Viazi – 5 kiasi Tuna – 2 vikopo Carrot – 1 Pilipili mboga – Nusu...

Keki ya Rangi Rangi Keki ya Rangi Rangi
Recipes2 months ago

Keki ya Rangi Rangi – Recipe za Eid

Vipimo Unga – 2 gilasi Siagi –  1 pound Sukari –  1 pound Mayai –  10 – 12 Baking powder – ...

mapishi ya visheti mapishi ya visheti
Recipes2 months ago

Visheti – Recipe za Eid

Wadau wa jiko letu, leo tuna visheti. Visheti ni aina ya kitafunwa, chaweza liwa na kahawa, chai, juisi na hata...

Juice ya embe - Recipe za Malindi Juice ya embe - Recipe za Malindi
Recipes2 months ago

Juice ya embe – Recipe za Malindi

Maembe yaliyoiva 2 Mtindi (yogurt) 2 Vikombe vya chai Maziwa 1 Kikombe cha chai Asali au Sukari ¼ Kikombe cha...

Tambi za Kukaanga - Recipe za Ramadhan Tambi za Kukaanga - Recipe za Ramadhan
Recipes2 months ago

Tambi za Kukaanga – Recipe za Ramadhan

Vipimo vya Tambi za Kukaanga Tambi pakti moja Sukari ¾ kikombe cha chai Mafuta ½ kikombe cha chai Iliki kiasi Maji...

Videos2 months ago

Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 6

Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 6 Episode 6 katika tamthilia ya Mr. Boniface inazungumzia Mzee Jaro. Related...

Videos2 months ago

Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 5

Mr. Boniface apambana vilivyo na wanafunzi watukutu katika darasa lake. Tazama hii Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode...

mbaazi za nazi mbaazi za nazi
Recipes3 months ago

Mbaazi za Nazi

What better way to start the day than a warm hearty breakfast? On the Swahili coast in Kenya and Tanzania,...

Advertisement

Swahili Recipes

Tambi za mapapai - Sweet Coconut Papaya Noodle Tambi za mapapai - Sweet Coconut Papaya Noodle
Recipes5 months ago

Tambi za mapapai – Sweet Coconut Papaya Noodle

Although they originally came from South America, papayas (or pawpaw) have integrated well into Swahili cuisine. An interesting and tasty...

juisi ya nanasi na tango juisi ya nanasi na tango
Recipes5 months ago

Juisi ya nanasi na tango

Juisi ya nanasi na tango ni moja wapo ya juisi yenye manufaa mengi mwilini. Licha na maoni tofauti, watu wengi...

recipe ya mithai mitai recipe ya mithai mitai
Recipes6 months ago

Mithai (Mitai) – Delicious Swahili Yeast Pastry

While mithai(mitai) is a kind of collective term for various desserts in India, the coastal inhabitants of Malindi and East...

maharagwe ya nazi beans with coconut milk recipe - Beans with Coconut milk(Maharagwe ya Nazi) maharagwe ya nazi beans with coconut milk recipe - Beans with Coconut milk(Maharagwe ya Nazi)
Recipes6 months ago

Beans with Coconut milk(Maharagwe ya Nazi)

Not every day on the Swahili coast is Biriani day. But with the right ingredients, even a dish that translates...

swiss rolls - malindi kenya recipe swiss rolls - malindi kenya recipe
Recipes7 months ago

Swiss rolls – mapishi ya Malindi Kenya

Swiss roll, ama roll cake, jelly au Swiss log is aina fulani ya cheki zinazojulikana kama sponge cake ambazo hujazwa...

Mikate Ya Maji Ilojazwa Nuttela - Malindi Recipes Mikate Ya Maji Ilojazwa Nuttela - Malindi Recipes
Recipes8 months ago

Mikate Ya Maji Ilojazwa Nutella – Malindi Recipes

Mikate ya maji iliyojazwa nutella (crepes), ni miepesi kuliko kawaida. Nutella inatandaza kwa mkate hii na kuipatia ladha murua kabisa....

Pineapple-Cake Pineapple-Cake
Recipes8 months ago

Pineapple cake – Recipes za watu wa Malindi

The origin of Pineapple cakes is from the Asian country of Taiwan. The sweet fruity cake is made using an...

bhajia za kunde zimeiva bhajia za kunde zimeiva
Recipes8 months ago

Bhajia za Kunde

Bhajia za kunde ni moja wapo wa aina tofauti za bhajia zinazopikwa mji ya pwani hasa ya Afrika Mashariki. Kama...

mutton pilau malindians - malindi Food mutton pilau malindians - malindi Food
Recipes1 year ago

Mutton Pilau – Recipe of the Day

Most people dread the thought of preparing pilau because it is stereotyped as a time-consuming process. Here is a simple...

easy buns on malindians.com easy buns on malindians.com
Recipes2 years ago

Easy buns – Recipes za Watu wa Malindi

VIPIMO: Unga wa ngano vikombe 3 1/4 Sukari vijiko 2 chakula Chumvi kijiko 1 chai Hamira vijiko 3 chai Maziwa...

Advertisement
Bloggers Association of Kenya Tracker