Tamthilia ya Mr. Boniface – Season 1 Episode 3

0
274

Tamthilia ya Mr. Boniface imerudi tena na toleo lingine: Season 1 Episode 3. Usikose kuangalia episode ya kwanza na ya pili. Episode hii yote inaonyesha utukutu wa wanafunzi wa Mr. Boniface katika Darasa la 2A shule ya Bonde Ziwi. Episode ya tatu inaanza kwa kuonyesha kijana moja akionyesha umahiri wake wa dansi na kuvurugia wenzake amani.

Mr. Boniface kama kawaida ni utunzi wake Marvin Brudas akiwashirikisha Tujumuike Talents Entertainment Group na wanafunzi wa Upweoni Primary School – Malindi.

See also:   Tamthilia ya Mr. Boniface - Season 1 Episode 1