Home Recipes

Recipes

The finest of foods from Malindi as well as recipes, stories, and secrets behind these amazing foods. Foods that have a blend of Arab, Italian, Indian and African culture and taste

While mithai(mitai) is a kind of collective term for various desserts in India, the coastal inhabitants of Malindi and East Africa at large are becoming much more specific: The Swahili use it to refer to deliciously fluffy yeast particles...
Not every day on the Swahili coast is Biriani day. But with the right ingredients, even a dish that translates with pure understatement as "beans with coconut milk" can become a feast. And if you simply take the beans...
Swiss roll, ama roll cake, jelly au Swiss log is aina fulani ya cheki zinazojulikana kama sponge cake ambazo hujazwa jam, icing au whipped creamed. Licha ya kuwa na jina "Swiss", kuashiria kutoka nchi ya Uswizi (Switzerland), inaaminika kuwa...
Mikate ya maji iliyojazwa nutella (crepes), ni miepesi kuliko kawaida. Nutella inatandaza kwa mkate hii na kuipatia ladha murua kabisa. Aina hii ya vyakula huliwa wakati wowote ule. Nutella ni nini? Nutella ni mchanganyiko wa chocolate na Hazel(hazelnut). Jinsi inavyotengeneza katika...
The origin of Pineapple cakes is from the Asian country of Taiwan. The sweet fruity cake is made using an assortment of pineapple slices or jam, eggs, flour, sugar, and butter.Ingredients Pineapple 6 pieces Sugar 1 cup 1 Egg  Salt ½ teaspoon Milk ¾...
bhajia za kunde zimeiva

Bhajia za Kunde

Bhajia za kunde ni moja wapo wa aina tofauti za bhajia zinazopikwa mji ya pwani hasa ya Afrika Mashariki. Kama jina linavyoashiria, bhajia za kunde hutengenezwa kutumia kunde zilizosagwa. Jinsi ya kuandaa na kupika bhajia za kunde Vipimo Kunde za kupaaza -...
Most people dread the thought of preparing pilau because it is stereotyped as a time-consuming process. Here is a simple (and trust me when I say simple) mutton pilau recipe that you can use to quickly fix this delicious...
VIPIMO: Unga wa ngano vikombe 3 1/4 Sukari vijiko 2 chakula Chumvi kijiko 1 chai Hamira vijiko 3 chai Maziwa ya unga vijiko 2 chakula (ukipenda) Maji vugu vugu kikombe 1 1/4 Siagi vijiko 2 chakula NAMNA YA KUPIKA 1. Tia mahitaji yote katika bakuli isipokuwa siagi kisha...
Drop doughnuts /Donuts za kuchota VIPIMO:Unga wa ngano vikombe 2¼ Baking powder vijiko 2 chai Sukari ½ kikombe Chumvi ½ kijiko chai Ganda la chungwa 1 lilokunwa Kungu manga kijiko 1 chai Maziwa ½ kikombe Mayai 3 Vanilla vijiko...
TAMBI ZA NAZI VIPIMOTambi za Mchele Pakti 1 (400 mg) Tui la nazi Kikombe 1 Sukari Nusu kikombe, ukipenda ongeza kidogo Maziwa ya kopo (evaporated) Nusu kikombe Samli Kijiko 1 cha supu Zabibu kavu ¼ Kikombe liki ¼ kijiko...

Editor Picks

Bloggers Association of Kenya Tracker