Watermelon juice (tikiti maji)

Watermelon Juice - Upishi wa watu wa MalindiMAHITAJI

450 grams Vipande vya Watermelon vyenye ubaridi,

250 gram ya maji ya dafu au Nazi changa

1 limao kubwa 10 vipande vya barafu au Ice cubes,

Fresh Mint kwajili ya kupambia

 

Jinsi ya kutengeneza watermelon juice (tikiti maji) na limao

Kata nusu tikiti maji zuri lililoiva kama unavyoona kwenye picha kisha likate kate vipande na uweke kwenye friji vipoe kabla ya kutengeneza juisi yako

Chukua maji ya dafu, limao, vipande vya barafu na vipande vya tikiti maji kisha weka kwenye blender.

Lengo la kuweka limao ni kuongeza na kubalance ladha. kama wewe ni mpenzi sana wa maji ya madafu unaweza ongeza zaidi ili ladha ya madafu isikike sana.

Blend vizuri mpaka vitu vyote vichanganyike safi kabisa. Perfect drink for your summer, waandalie familia wafurahie pia kama unabiashara waandalie wateja wako wafurahie sana hasa kipindi hiki cha majira ya joto. kumbuka tikiti maji na dafu vyote vinasukari kwahiyo huna haja ya kuongeza sukari kabisa na ukafurahia kinywaji hiki murua.

SHARE
Previous articleMarafa Hell’s Kitchen
Next articleRobinson Island – Malindi breathtaking little paradise
Why have I been traveling so much? Because I have grown to like and love Malindi, I want to take risks, meet interesting people, challenge myself, explore the world, and learn more about myself in the process. This also helps me tell the story of how interesting Malindi.