Vipimo:

Wali ulopikwa vikombe 5
Mayai 3 + mayai 2
Paprika ¼ kijiko cha chai
Manjano ¼ kijiko cha chai<br
Mafuta vijiko 2 + kijiko 1 chakula
Kitunguu maji 1 cha size kilichokatwa katwa
Hoho nyekundu zilizokatwa katwa ½ kikombe
Njegere zilizoganda na kuacha zikayeyuka 1/2 kikombe
Chumvi kiasi
Sukari ¼ kijiko cha chai
Pilipili manga ¼ kijiko cha chai
Vitunguu vya kijani 2 vilivyokatwa katwa

MAELEKEZO:

1. Kama unatumia wali ulopika wakati huo uchambue vizuri na uma kisha utie katika sahani au Sinia pana acha upoe kabisa, na Kama unatumia ulobaki katika fridge uuchambue vizuri kwa mikono misafi kuuvunja vunja.

2. Piga mayai 3 katika bakuli moja, kisha piga mayai 2 pamoja na maji vijiko 2 chakula, paprika na manjano kisha ziweke pembeni bakuli zako zote mbili.

3. Tia karai au pan jikoni juu ya moto wa kiasi, kisha tia mafuta ya kula vijiko 2 chakula, yakipata moto tia mayai 3 uloyapiga bila viungo

“@context”: “http://schema.org/”,
“@type”: “Recipe”,
“name”: “Wali wa kukaanga na mayai”,
“image”: “http://malindians.com/wp-content/uploads/2016/06/Wali-wa-kukaanga-na-mayai.jpg”,
“author”: “Mapishi Mix”,
“description”: “MAELEKEZO:

1. Kama unatumia wali ulopika wakati huo uchambue vizuri na uma kisha utie katika sahani au Sinia pana acha upoe kabisa, na Kama unatumia ulobaki katika fridge uuchambue vizuri kwa mikono misafi kuuvunja vunja.

2. Piga mayai 3 katika bakuli moja, kisha piga mayai 2 pamoja na maji vijiko 2 chakula, paprika na manjano kisha ziweke pembeni bakuli zako zote mbili.

3. Tia karai au pan jikoni juu ya moto wa kiasi, kisha tia mafuta ya kula vijiko 2 chakula, yakipata moto tia mayai 3 uloyapiga bila viungo na yavuruge vuruge, Epua weka pembeni.

4. Tia tena karai au pan jikon katika moto mkali, tia kijiko 1 chakula cha mafuta yakipata moto tia vitunguu na hoho kisha kaanga kwa dk 1-2. Tia wali wako kisha geuza geuza vizuri ili wali upate moto vizuri

5. Mimina mayai mabichi ulopiga na viungo juu ya wali wako kisha kaanga kwa dk 1 hadi mayai yaenee vizuri ktk wali.

6. Tia njegere koroga bila kuachia kwa muda wa dk 1, nyunyiza chumvi, sukari na pilipili manga juu ya wali wako kisha koroga vizuri kuchanganya.

7. Ukiona wali mkavu sana sikia huru kunyunyiza maji vugu vugu kidogo au supu, Tia vitunguu vya kijani na mayai yalovutugwa.

8. Wali tayari kwa kula ukiwa moto. Enjoy!

Note:
Unaweza punguza au kuongeza viungo na mboga mboga kulingana na taste yako.”,
“recipeIngredient”: [
“Wali ulopikwa vikombe 5”,
“Mayai 3 + mayai 2”,
“Paprika ¼ kijiko cha chai”,
“Manjano ¼ kijiko cha chai”,
“Mafuta vijiko 2 + kijiko 1 chakula”,
“Kitunguu maji 1 cha size kilichokatwa katwa”,
“Hoho nyekundu zilizokatwa katwa ½ kikombe”,
“Njegere zilizoganda na kuacha zikayeyuka 1/2 kikombe”,
“Chumvi kiasi”,
“Sukari ¼ kijiko cha chai”,
“Pilipili manga ¼ kijiko cha chai”,
“Vitunguu vya kijani 2 vilivyokatwa katwa”
],
“prepTime”: “PT15M”,
“cookTime”: “PT25M”,
“totalTime”: “PT40M”,
“recipeYield”: “4”,
“nutrition”: {
“@type”: “NutritionInformation”,
“calories”: “200”,
“fatContent”: “10”
}

Summary
recipe image
Recipe Name
Wali wa kukaanga na mayai
Author Name
Published On
Preparation Time
Cook Time
Total Time