chapati

Description

JINSI YA KUPIKA
1.Tia mahitaji yote isipokuwa samli katika bakuli kisha kanda kufanya unga mlaini na wa kuvutika.

2. Tia samli kisha kanda tena kwa dk 5-10. Funika acha ukae kwa muda wa nusu saa

3. Sokota chapati zako kama kawaida kisha acha madonge yakae kwa muda wa nusu saa.

4. Choma chapati zako, hakikisha moto ni medium heat ili upate rangi nzuri. Enjoy!

Recipes & Pic by: Mapishi Mix