31 C
Malindi
Home Recipes

Recipes

The finest of foods from malindi as well as recipes, stories and secrets behind these amazing foods. Foods that have a blend of Arab, Italian, Indian and African culture and taste

Vitumbua

vitumbua upishi wa Malindi
Vitumbua kama kitafunio mitaa ya Uswahilini Siwezi kumbuka chimbuko la vitumbua kama kitafunio mbali kutoka utotoni nakumbuka  kuwepo kwa vitumbua nikiwa mitaa fulani mjini Malindi. Kitumbua kwa mtu mgeni uswazi ni kitafunio kinachoandaliwa na chai au kuliwa kilivyo. Kimetengenezwa na mchele uliosagwa na kutiwa ndani yake tui la nazi pamoja na sukari. Mchanganyiko huu unachomwa ndio kupatikana vitumbua. Upishi wake hubadilika kulingana...
recipes ya mchicha na matumbo au utumbo
Nani asiyependa mboga ya mchicha iliyopika vizuri. Fursa ndio hii ya kujifunza kupika sio mboga ya mchicha tu, mbali mboga ya mchicha na matumbo au utumbo wanavyopenda kuita ndugu zetu kutoka Tanzania. Kila sehemu ya hii dunia sampuli tofauti ya kutayarisha, tuna imani utapenda upishi wa Malindi Kenya Jinsi ya kupika mboga ya mchicha na matumbo Mahitaji 1. Matumbo 2. Mchicha 3. kitunguu 4. carrot 5. pilipili...
recipes ya mboga ya mchicha
Cheki maandalizi na upishi wa mboga ya mchicha. Mapishi yapo mengi lakini mapishi haya ya mboga hii kama wanavyotayarisha watu wa Malindi yatakupendeza na kukuvutia mno. Pia unaweza kuangalia upishi wa mboga ya mchicha na matumbo JINSI YA KUANDAA NA KUPIKA MBOGA YA MCHICHA Mahitaji: 1,Mchicha (Kiasi kinachokutosha). 2.Kitunguu maji. 3.Nazi ( tui zito/ ya pakiti). 4.Curry powder. 5.Pilipili (ukipenda). 6.Mafuta ya kupikia kiasi. 7. Karoti. chumvi Jinsi ya...
rojo la biriani ya mbuzi
Kila wakati unapotaja biryani, mate hujaa na kububujika katika midomo ya wengi. Mapishi ya biriani yapo mengi na haya ya leo yamefupisha ili kukuwezesha kupika kwa mkato. Upishi wa biriani uko sehemu mbili, ya kwanza na muhimu kabisa ni upishi wa rojo la biriani. Sehemu ya pili ni upishi wa wali. Cheki upishi wa biriani ya mbuzi (rojo) How to...
MAELEKEZO: 1. Katika sufuria juu ya moto wa kiasi, kaanga mchele wako kwa mafuta ya nazi kijiko 1 cha chai, kaanga kwa dakika moja 2. Mimina tui la nazi,tia chumvi ya kutoshea ki...
maandazi-recipes-malindians
Tukiwa katika countdown ya siku hadi Mwezi mtukufu wa Ramadhan, matayarisho kabambe tayari yashaanza kufanywa hasa pande zetu za uswahilini. Mapishi huwa ni sehemu muhimu katika jamii zetu. Huku pwani, mapishi ni kivutio kikubwa. Malindians tukishirikiana na Mapishi mix tutakuwa tukiwaletea resipe (Recipes) ya vyakula tofauti tofauti. Leo hii tunawaletea recipe ya kuandaa maandazi ya nazi. Maandazi huwa katika picha ya wengi inapokuja chakula cha asubuhi. Vipimo Maji...
sambusa za nyama ya kuku
Mapishi ya sambusa au samosa kama baadhi ya watu wanavyoita yametajwa kuanzia enzi za karne ya 13 na 14 katika hadithi na ngano za wasafari waliofanya biashara Bara ya Asia. Mtu tajika aliyezungumzia sambusa ni Abolfazl Beyhaqi (995-1077). Siwezi sema ni miaka gani sambusa zilianza Africa Mashariki ila najua zilikuja na wasafiri wa meli kutoka Bara Arabu na Asia. Mapishi yakaenda...
Wali wa kukaanga na mayai
Vipimo: Wali ulopikwa vikombe 5 Mayai 3 + mayai 2 Paprika ¼ kijiko cha chai Manjano ¼ kijiko cha chai<br Mafuta vijiko 2 + kijiko 1 chakula Kitunguu maji 1 cha size kilichokatwa katwa Hoho nyekundu zilizokatwa katwa ½ kikombe Njegere zilizoganda na kuacha zikayeyuka 1/2 kikombe Chumvi kiasi Sukari ¼ kijiko cha chai Pilipili manga ¼ kijiko cha chai Vitunguu vya kijani 2 vilivyokatwa katwa MAELEKEZO: 1. Kama unatumia wali ulopika wakati...
Watermelon Juice - Upishi wa watu wa Malindi
Watermelon juice (tikiti maji) MAHITAJI 450 grams Vipande vya Watermelon vyenye ubaridi, 250 gram ya maji ya dafu au Nazi changa 1 limao kubwa 10 vipande vya barafu au Ice cubes, Fresh Mint kwajili ya kupambia   Jinsi ya kutengeneza watermelon juice (tikiti maji) na limao Kata nusu tikiti maji zuri lililoiva kama unavyoona kwenye picha kisha likate kate vipande na uweke kwenye friji vipoe kabla ya...

FOLLOW ME

4,221FansLike
156FollowersFollow
18,621FollowersFollow
1,831FollowersFollow
169SubscribersSubscribe

Find us on Facebook

POPULAR ARTICLES