31 C
Malindi
Home Recipes

Recipes

The finest of foods from malindi as well as recipes, stories and secrets behind these amazing foods. Foods that have a blend of Arab, Italian, Indian and African culture and taste

Vitumbua

vitumbua upishi wa Malindi
Vitumbua kama kitafunio mitaa ya Uswahilini Siwezi kumbuka chimbuko la vitumbua kama kitafunio mbali kutoka utotoni nakumbuka  kuwepo kwa vitumbua nikiwa mitaa fulani mjini Malindi. Kitumbua kwa mtu mgeni uswazi ni kitafunio kinachoandaliwa na chai au kuliwa kilivyo. Kimetengenezwa na mchele uliosagwa na kutiwa ndani yake tui la nazi pamoja na sukari. Mchanganyiko huu unachomwa ndio kupatikana vitumbua. Upishi wake hubadilika kulingana...
recipes ya juice ya embe na passion
Joto na vuke kama wanavyosema wakaazi wa malindi ni kawaida ya "Malindi weather". Wengi hupenda kujiburudisha na kinywaji baridi ili kupunguza makali ya jua. Juice na embe, passion au sharubuti zingine ni maarufu sana sehemu hizi za pwani. Leo nimeamua kuwaandalia juice mchanganyiko wa juice ya embe na passion. Jinsi ya  kutengeneza juice ya embe na passion Vipimo: Passion fruit  8 Embe  6...
sambusa za nyama ya kuku
Mapishi ya sambusa au samosa kama baadhi ya watu wanavyoita yametajwa kuanzia enzi za karne ya 13 na 14 katika hadithi na ngano za wasafari waliofanya biashara Bara ya Asia. Mtu tajika aliyezungumzia sambusa ni Abolfazl Beyhaqi (995-1077). Siwezi sema ni miaka gani sambusa zilianza Africa Mashariki ila najua zilikuja na wasafiri wa meli kutoka Bara Arabu na Asia. Mapishi yakaenda...
recipes ya mboga ya mchicha
Cheki maandalizi na upishi wa mboga ya mchicha. Mapishi yapo mengi lakini mapishi haya ya mboga hii kama wanavyotayarisha watu wa Malindi yatakupendeza na kukuvutia mno. Pia unaweza kuangalia upishi wa mboga ya mchicha na matumbo JINSI YA KUANDAA NA KUPIKA MBOGA YA MCHICHA Mahitaji: 1,Mchicha (Kiasi kinachokutosha). 2.Kitunguu maji. 3.Nazi ( tui zito/ ya pakiti). 4.Curry powder. 5.Pilipili (ukipenda). 6.Mafuta ya kupikia kiasi. 7. Karoti. chumvi Jinsi ya...
rojo la biriani ya mbuzi
Kila wakati unapotaja biryani, mate hujaa na kububujika katika midomo ya wengi. Mapishi ya biriani yapo mengi na haya ya leo yamefupisha ili kukuwezesha kupika kwa mkato. Upishi wa biriani uko sehemu mbili, ya kwanza na muhimu kabisa ni upishi wa rojo la biriani. Sehemu ya pili ni upishi wa wali. Cheki upishi wa biriani ya mbuzi (rojo) How to...
MAELEKEZO: 1. Katika sufuria juu ya moto wa kiasi, kaanga mchele wako kwa mafuta ya nazi kijiko 1 cha chai, kaanga kwa dakika moja 2. Mimina tui la nazi,tia chumvi ya kutoshea ki...
Watermelon Juice - Upishi wa watu wa Malindi
Watermelon juice (tikiti maji) MAHITAJI 450 grams Vipande vya Watermelon vyenye ubaridi, 250 gram ya maji ya dafu au Nazi changa 1 limao kubwa 10 vipande vya barafu au Ice cubes, Fresh Mint kwajili ya kupambia   Jinsi ya kutengeneza watermelon juice (tikiti maji) na limao Kata nusu tikiti maji zuri lililoiva kama unavyoona kwenye picha kisha likate kate vipande na uweke kwenye friji vipoe kabla ya...
JINSI YA KUPIKA PILAU YA KUKU NYUMBANI. Vipimo Mchele wa basmati 3 vikombe Kuku ½ Viazi 4 Vitunguu 2 Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa 2 vijiko vya supu Binzari ya pilau nzima 1 Kijiko cha chakula Binzari ya pilau ½ kijiko cha chai Pilipili manga nzima ½ kijiko cha chai Karafuu nzima 8 Iliki nzima 6 Mdalasini nzima 5 vijiti Pilipili mbichi iliyosagwa 2 Chumvi kiasi Mafuta ya kupikia ¼ kikombe Namna Ya Kutayarisha Na Kupika: 1. Osha mchele na roweka kwa muda kutegemea na aina ya mchele. 2. Kata kuku vipande upendavyo, safisha kisha mchemshe kwa chumvi, pilipili iliyosagwa, thomu na tangawizi. 3. Akiwiva kuku, mtoe weka kando, bakisha supu katika sufuria. 4. Katika sufuria, kaanga vitunguu hadi vigeuke rangu ya hudhurungi. 5. Tia thomu na tangawizi na binzari zote kaanga kidogo 6. Kisha tia viazi kanga kidogo kisha tia kisha tia vipande vyako vya kuku na supu acha ichemke kidogo kisha tia maji ukisie kutokana na mchele unaotumia. 7. mwisho tia mchele koroga uchanganye na vitu vyote acha ichemke kiasi kisha funika na punguza moto mpaka uive (huku ukiugeuzageuza) 8. Ukishakuwa tayari pakua kwenye sahani tayari kwa kula na salad na pilipili.
JINSI YA KUPIKA PILAU YA KUKU Vipimo Mchele wa basmati  3 vikombe Kuku  ½ Viazi  4 Vitunguu  2 Kitunguu saumu(garlic) iliyosagwa 2 vijiko vya supu Binzari ya pilau nzima 1 Kijiko cha chakula Binzari ya pilau ½ kijiko cha chai Pilipili manga nzima ½ kijiko cha chai Karafuu nzima 8 Iliki nzima  6 Mdalasini nzima  5 vijiti Pilipili mbichi iliyosagwa  2 Chumvi  kiasi Mafuta ya kupikia  ¼ kikombe Namna Ya Kutayarisha Na...
Zebra Cake - Upishi wa Watu wa Malindi
Zebra cake ni cake iliyobandika jina ya Punda milia kulingana na rangi yake ya weupe na weusi. Upishi huu wa Zebra Cake utaonyesha maana ya kutengeneza aina hii ya keki kuwa tamu na yenye kuvutia kulingana na style ya watu wa Malindi   JINSI YA KUANDAA ZEBRA CAKE NYUMBANI Mahitaji 1)sukari (granulated sugar) 1cup 2) mayai 4 3)maziwa kikombe 1 4)mafuta ya kupikia(vegetable,corn au canola) kikombe...

FOLLOW ME

4,221FansLike
156FollowersFollow
18,621FollowersFollow
1,831FollowersFollow
169SubscribersSubscribe

Find us on Facebook

POPULAR ARTICLES