29 C
Malindi
Home Recipes

Recipes

The finest of foods from malindi as well as recipes, stories and secrets behind these amazing foods. Foods that have a blend of Arab, Italian, Indian and African culture and taste

sambusa za nyama ya kuku
Mapishi ya sambusa au samosa kama baadhi ya watu wanavyoita yametajwa kuanzia enzi za karne ya 13 na 14 katika hadithi na ngano za wasafari waliofanya biashara Bara ya Asia. Mtu tajika aliyezungumzia sambusa ni Abolfazl Beyhaqi (995-1077). Siwezi sema ni miaka gani sambusa zilianza Africa Mashariki ila najua zilikuja na wasafiri wa meli kutoka Bara Arabu na Asia. Mapishi yakaenda...
recipes ya mboga ya mchicha
Cheki maandalizi na upishi wa mboga ya mchicha. Mapishi yapo mengi lakini mapishi haya ya mboga hii kama wanavyotayarisha watu wa Malindi yatakupendeza na kukuvutia mno. Pia unaweza kuangalia upishi wa mboga ya mchicha na matumbo JINSI YA KUANDAA NA KUPIKA MBOGA YA MCHICHA Mahitaji: 1,Mchicha (Kiasi kinachokutosha). 2.Kitunguu maji. 3.Nazi ( tui zito/ ya pakiti). 4.Curry powder. 5.Pilipili (ukipenda). 6.Mafuta ya kupikia kiasi. 7. Karoti. chumvi Jinsi ya...
recipes ya mchicha na matumbo au utumbo
Nani asiyependa mboga ya mchicha iliyopika vizuri. Fursa ndio hii ya kujifunza kupika sio mboga ya mchicha tu, mbali mboga ya mchicha na matumbo au utumbo wanavyopenda kuita ndugu zetu kutoka Tanzania. Kila sehemu ya hii dunia sampuli tofauti ya kutayarisha, tuna imani utapenda upishi wa Malindi Kenya Jinsi ya kupika mboga ya mchicha na matumbo Mahitaji 1. Matumbo 2. Mchicha 3. kitunguu 4. carrot 5. pilipili...
recipes ya juice ya embe na passion
Joto na vuke kama wanavyosema wakaazi wa malindi ni kawaida ya "Malindi weather". Wengi hupenda kujiburudisha na kinywaji baridi ili kupunguza makali ya jua. Juice na embe, passion au sharubuti zingine ni maarufu sana sehemu hizi za pwani. Leo nimeamua kuwaandalia juice mchanganyiko wa juice ya embe na passion. Jinsi ya  kutengeneza juice ya embe na passion Vipimo: Passion fruit  8 Embe  6...
Wali wa kukaanga na mayai
Vipimo: Wali ulopikwa vikombe 5 Mayai 3 + mayai 2 Paprika ¼ kijiko cha chai Manjano ¼ kijiko cha chai<br Mafuta vijiko 2 + kijiko 1 chakula Kitunguu maji 1 cha size kilichokatwa katwa Hoho nyekundu zilizokatwa katwa ½ kikombe Njegere zilizoganda na kuacha zikayeyuka 1/2 kikombe Chumvi kiasi Sukari ¼ kijiko cha chai Pilipili manga ¼ kijiko cha chai Vitunguu vya kijani 2 vilivyokatwa katwa MAELEKEZO: 1. Kama unatumia wali ulopika wakati...

Vitumbua

vitumbua upishi wa Malindi
Vitumbua kama kitafunio mitaa ya Uswahilini Siwezi kumbuka chimbuko la vitumbua kama kitafunio mbali kutoka utotoni nakumbuka  kuwepo kwa vitumbua nikiwa mitaa fulani mjini Malindi. Kitumbua kwa mtu mgeni uswazi ni kitafunio kinachoandaliwa na chai au kuliwa kilivyo. Kimetengenezwa na mchele uliosagwa na kutiwa ndani yake tui la nazi pamoja na sukari. Mchanganyiko huu unachomwa ndio kupatikana vitumbua. Upishi wake hubadilika kulingana...
MAELEKEZO: 1. Katika sufuria juu ya moto wa kiasi, kaanga mchele wako kwa mafuta ya nazi kijiko 1 cha chai, kaanga kwa dakika moja 2. Mimina tui la nazi,tia chumvi ya kutoshea ki...
rojo la biriani ya mbuzi
Kila wakati unapotaja biryani, mate hujaa na kububujika katika midomo ya wengi. Mapishi ya biriani yapo mengi na haya ya leo yamefupisha ili kukuwezesha kupika kwa mkato. Upishi wa biriani uko sehemu mbili, ya kwanza na muhimu kabisa ni upishi wa rojo la biriani. Sehemu ya pili ni upishi wa wali. Cheki upishi wa biriani ya mbuzi (rojo) How to...
maandazi-recipes-malindians
Tukiwa katika countdown ya siku hadi Mwezi mtukufu wa Ramadhan, matayarisho kabambe tayari yashaanza kufanywa hasa pande zetu za uswahilini. Mapishi huwa ni sehemu muhimu katika jamii zetu. Huku pwani, mapishi ni kivutio kikubwa. Malindians tukishirikiana na Mapishi mix tutakuwa tukiwaletea resipe (Recipes) ya vyakula tofauti tofauti. Leo hii tunawaletea recipe ya kuandaa maandazi ya nazi. Maandazi huwa katika picha ya wengi inapokuja chakula cha asubuhi. Vipimo Maji...

FOLLOW ME

4,221FansLike
155FollowersFollow
18,621FollowersFollow
1,818FollowersFollow
171SubscribersSubscribe

Find us on Facebook

POPULAR ARTICLES