Msanii wa mitindo ya hiphop kutoka Watamu, Trillionaire, ameachilia video mpya ya wimbo Pokea Sifa akimshirikisha Chanzera. Baada ya kusikiza dude hilo ambalo linamtupia sifa kemkem Muuba wa vyote, nimebaki nimeduwaa. Kwani Trillionaire ameamua kuimba nyimbo za mtindo wa Gospel?Otherwise, Dude kali i must say. Cheki video hio
How to Make an Impression on a First DateHey Girls, today i just decided to focus on you. Imagine of that guy you like and have wanted to meet and out of the blues he decides to take you out on a date.So how do you make an impression that will last?I got all the answersIt’s In Your Dress...
It is believed that misery loves company. I am not sure of this but what i know from many is that fun also loves company. Many tend to get bored when they are alone, a syndrome that has been named loneliness. For this reason, many tend to have people accompany them when going  to party.So where i am going with...
Nimekuwa supporter wa mziki wa humu nchini hasa mziki wa pwani (Malindi kwa sana) na nimejaribu kutumuia mbinu tofauti kujaibu kuupeleka level mbele. Kama blogger humu pwani, kuna changamoto nyingi sana. Wakati mwingi tunawekwa pahali pagumu. Wazungu wanapaita "between a rock and a hard place".  Mambo mengi mabaya yanafanyika katika jamii yetu lakini sisi tunafaa kubakia kimya kwa sababu inaonekana ndio tutaharibu....
Baada ya show ya Kukata na shoka wiki iliyopita Pine Court Beach Bar, Kelsa ametoa siku maalum ya kuachilia ngoma ya mpya ya "Kaselfie".Tukizungumza kupitia mtandao wa Facebook, Kelsa aliniambia kuwa tayari kazi ishamaliza na anasubiri kuachilia ngoma hiyo tarehe 12 mwezi wa Agosti mwaka huu. Kufikia muda wa kuandika post hii, bado haikubainika kama kutakuwa na show maalun...