Pine Court Hotel Malindi inconjuction with Malindians.com invites you to the Karaoke Open Mic Night this and every Wednesday as from 8.30pm at Pine Court Beach Bar. Pine Court Karaoke / Open mic has the best of Malindi nightlife with amazing crowd and Music. Every week we sample Malindi Finest artists creating a platform for revellers to interact one on one with...
Kulingana na tetesi na story mtaani kupitia Malindi Superstars inasemekana kwamba  Chini ya mkataba wa Malindi Records ,Msanii JITUZEE mmoja wakikundi cha GBT kenya atiananga nakuanza kazi zake mpya Ambapo kwa sasa kazi yake ya kwanza amewashirikisha wasanii waliofanya kazi pamoja nakutoa HIT SONG "BOOGIE ZEE" iliyovuma nje na ndani ya nchi ya kenya,BLAZEE familiy akiwemo #Private soldier na...
Msanii Worsty kutoka mjini ameachilia dude katika cyberwaves akimshirikisha CEO wa Good Times record, Krazy P. Nyimbo yenyewe iko na ladha ambayo wasanii kadhaa kutoka Caribbean hasa zile pande za Jamaica walihit nazo. Cheki hii video uniambie.