Baada ya Pilkapilka za wiki, mimi huyo mpaka Pine Court beach Bar kwa show ya karaoke ambayo huandaliwa kila wiki siku ya jumatano. Jumatano hii (7th December), ilikuwa na shesehe kibao kwani Msanii Beka the Boy alikuwa mgeni wetu rasmi katika show hiyo.Beka the Boy hakuwa msanii wa pekee kufika kwa hiyo show, bali kulikuwa na wasanii chungu mzima...
Wiki hii katika Karaoke Night ndani ya Pine Court Hotel Malindi, tutakuwa na msanii BEKA the BOY. Usikose kufika kwani itakuwa moto sana kuanzia 9.00pm siku ya Jumatano
One of the most successful music group in Malindi, Dirty Crew released a new video for their single "Dirty Game". The video was done by an inspiration Mind Bonaya "Bissani" off Bissani Effect. Check the video out below
Kama tulivyoahidi, Karaoke ya Wiki hii (30th November 2016), ilikuwa na sheshe kibao huku Kikundi cha Dirty Crew kikiachalia Video yao mpya kwa mara ya kwanza. Cheki picha hizo                                                                                                                                          
kila wiki, kama ilivyokuwa ada ya watu wa Malindi, Pine Court Beach Bar huandaa Karaoke Night siku za Jumatano. Wiki hii itakuwa very special, kwani kikundi cha wasanii kinachojulikana kama "Dirty Crew" watakuwa ndani kama Guest artist na vile vile watakuwa kwa mara ya kwanza wakiangusha video yao mpya.Usikose kufika Pine Court Beach, opposite Nakumatt malindi kuanzia 9pm siku...