[youtube https://www.youtube.com/watch?v=dBHnM33_JaM]
Walimu wa mmoja shule wa upili alifumaniwa baada ya kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wake hapo jana. Kama ulikosa habari hiyo, BONYEZA HAPA . Lakini hatukuweza kutambua ni Mwalimu gani hasa alihusika na alikuwa wa Shule gani. Lakini baada ya kesi hiyo kufikisha mahakamani hivi leo, imekuwa dhahiri kwamba walimu huyo ni astor Solomon Mbuva ambaye pia ni Mwalimu wa somo la...
Kawaida huwa sipendi kugusia mambo yanayoingilia maisha ya watu, hasa maisha ya watu wa uswazi. Lakini leo inanibidi niseme, kwani ni jambo linalokera sana. Nilikuwa katika pilkapilka zangu ukipenda raundi mwenda katika mitaa ya "Kifahari" ya Kisumu Ndogo (kwa sababu ya airport) mjini Malindi, ndipo nilipopata fununu ya yalitendeka asubuhi. Ilikuwa mida ya kiamsha kinywa wakati akina Abdoo (si jina...
Miladul Nabi is one very important celebration in the calender of the people of Malindi Kenya. Masjid Riyadha is one of the mosques in Malindi Town