Kwa muda nimekuwa nikiona picha za Msanii wa Ragga Sassi kaika mitandao ya kijamii akiwa Malindi Kenya International Airport. Si ajabu kwa msanii wa hadhi yake kuwa ndani ya Airport kwani ndege inasifiwa kuwa usafiri wa haraka kutoka sehemu moja hadi nyingine. Lakini nilijua kulikuwa na jambo linapikwa.

Kulingana na account yake official ya YouTube, sassi amengusha kibao kipya akimshirikisha Producer Sango kiitwacho”Get Paid” Audio ya Nyimbo hiyo imetayarishwa na TK2 huku video ikifanya na Bonaya Bissani wa Bissani Effect.

[rwp-review id=”0″]