Msanii wa mitindo ya hiphop kutoka Watamu, Trillionaire, ameachilia video mpya ya wimbo Pokea Sifa akimshirikisha Chanzera. Baada ya kusikiza dude hilo ambalo linamtupia sifa kemkem Muuba wa vyote, nimebaki nimeduwaa. Kwani Trillionaire ameamua kuimba nyimbo za mtindo wa Gospel?

Otherwise, Dude kali i must say. Cheki video hio

SHARE
Previous articleHow to Make an Impression on a First Date
Next articleKaraoke na Lilmizze na TBouy
Why have I been traveling so much? Because I have grown to like and love Malindi, I want to take risks, meet interesting people, challenge myself, explore the world, and learn more about myself in the process. This also helps me tell the story of how interesting Malindi.