Ningependa kukitambulisha rasmi kipindi chetu cha Malindians kwenye mtandao wa YouTube. Hiki ni Kipindi ambacho kitakuwa kikimulika panda shuka za wakaazi wa Malindi kwa lugha ya Kisasa “Hustles”. Kipindi hichi kiko katika Season yake ya pili. Season ya Kwanza ilifanyika mwaka uliopita (2015).

YOUNG NJITA – MSANII WA HIPHOP MALINDI KENYA

Leo hii ningependa kuangazia pilkapilka za kijana mtanashati, gwiji wa rhymes kwenye miondoko ya kuchana na kufoka. Si mwengine bali ni Ramadhan Ngao aka Young Njita. Young Njita ni mkazi wa Malindi Kenya na mwanafunzi katika Shule ya upili katika shule mojawapo hapa hapa mjini Malindi.

Alianza sanaa yake ya mziki kutoka enzi ya masomo yake ya msingi ambapo alikuwa akijihusisha sana Katika sanaa ya Kuingiza aka Drama.

Hebu cheki Video hii ikiangazia safari yake katika sanaa, changamoto na baadhi ya kazi alizozifanya.

SHARE
Previous articleMalindians S02E01 – Young Njita
Next articleHiphop Beyond the Mic
Why have I been traveling so much? Because I have grown to like and love Malindi, I want to take risks, meet interesting people, challenge myself, explore the world, and learn more about myself in the process. This also helps me tell the story of how interesting Malindi.