25 C
Malindi
Kama tulivyoahidi, Karaoke ya Wiki hii (30th November 2016), ilikuwa na sheshe kibao huku Kikundi cha Dirty Crew kikiachalia Video yao mpya kwa mara ya kwanza. Cheki picha hizo                                                                                                                                          
Kulingana na tetesi na story mtaani kupitia Malindi Superstars inasemekana kwamba  Chini ya mkataba wa Malindi Records ,Msanii JITUZEE mmoja wakikundi cha GBT kenya atiananga nakuanza kazi zake mpya Ambapo kwa sasa kazi yake ya kwanza amewashirikisha wasanii waliofanya kazi pamoja nakutoa HIT SONG "BOOGIE ZEE" iliyovuma nje na ndani ya nchi ya kenya,BLAZEE familiy akiwemo #Private soldier na...
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=vwWXOYPSWig] Msanii Worsty kutoka mjini ameachilia dude katika cyberwaves akimshirikisha CEO wa Good Times record, Krazy P. Nyimbo yenyewe iko na ladha ambayo wasanii kadhaa kutoka Caribbean hasa zile pande za Jamaica walihit nazo. Cheki hii video uniambie.
chozi la mnyonge
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=utiC-Z76Wzw]
Je wajua kwamba jasho la kwapani kwa mwanaume likipakwa kwenye lipsi za juu katika mdomo wa mwanamke limethibitishwa kumfanya mwanamke kuwa na furaha muda mwingi?Najua wengi hawajui hili. Lakini kulingana na utafiti uliofanywa University of Pennsylvania, pheromones za kiume zinaweza kuongeza mood ya mwanamke na kuchochea kutolewa kwa homoni ambayo inasimamia mzunguko wa hedhi.Katika utafiti huo, watafiti walitumia chembembe (extracts) za...
Pilka pilka zetu jana zilitupeleka pine ambapo tulikuwa na wasanii kutoka Watamu Lil Mizze na T. Bouy walifanya mambo. Hebu cheki picha
Msanii wa mitindo ya hiphop kutoka Watamu, Trillionaire, ameachilia video mpya ya wimbo Pokea Sifa akimshirikisha Chanzera. Baada ya kusikiza dude hilo ambalo linamtupia sifa kemkem Muuba wa vyote, nimebaki nimeduwaa. Kwani Trillionaire ameamua kuimba nyimbo za mtindo wa Gospel?Otherwise, Dude kali i must say. Cheki video hio[youtube https://www.youtube.com/watch?v=-x51vQGQRsw]
How to Make an Impression on a First DateHey Girls, today i just decided to focus on you. Imagine of that guy you like and have wanted to meet and out of the blues he decides to take you out on a date.So how do you make an impression that will last?I got all the answersIt’s In Your Dress...

Company of One

It is believed that misery loves company. I am not sure of this but what i know from many is that fun also loves company. Many tend to get bored when they are alone, a syndrome that has been named loneliness. For this reason, many tend to have people accompany them when going  to party.So where i am going with...
Nimekuwa supporter wa mziki wa humu nchini hasa mziki wa pwani (Malindi kwa sana) na nimejaribu kutumuia mbinu tofauti kujaibu kuupeleka level mbele. Kama blogger humu pwani, kuna changamoto nyingi sana. Wakati mwingi tunawekwa pahali pagumu. Wazungu wanapaita "between a rock and a hard place".  Mambo mengi mabaya yanafanyika katika jamii yetu lakini sisi tunafaa kubakia kimya kwa sababu inaonekana ndio tutaharibu....

FOLLOW ME

4,221FansLike
156FollowersFollow
18,621FollowersFollow
1,818FollowersFollow
171SubscribersSubscribe

Find us on Facebook

POPULAR ARTICLES