Walimu wa mmoja shule wa upili alifumaniwa baada ya kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wake hapo jana. Kama ulikosa habari hiyo, BONYEZA HAPA . Lakini hatukuweza kutambua ni Mwalimu gani hasa alihusika na alikuwa wa Shule gani. Lakini baada ya kesi hiyo kufikisha mahakamani hivi leo, imekuwa dhahiri kwamba walimu huyo ni astor Solomon Mbuva ambaye pia ni Mwalimu wa somo la dini la CRE katika shule ya upili ya Mambrui Malindi Kenya. Endelea kufuata Malindians, na tutakujuza yanaojiri Kuhusu habari hii.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here