Kama ilivyokuwa desturi ya pilka pilka za watu wa Malindi, Kila Jumatano Malindians ikishirikiana na Pine Court Hotel huandaa Karaoke Night. Hii huwa si Karaoke ya kawaida kwani huwa na mgeni maalamu kila wiki. Msanii mmoja kutoka kapu la wasanii wengi mahiri mjini anakuwa “co-host” wa Karaoke hiyo. Wiki hii Ommy Dee ndiyo aliyetufanyia makamuzi

DSC_5477 DSC_5482 DSC_5401 DSC_5404 DSC_5407 DSC_5425 DSC_5442 DSC_5450 DSC_5468 DSC_5472DSC_5345DSC_5347DSC_5353DSC_5355DSC_5358DSC_5364DSC_5365DSC_5371DSC_5374DSC_5375DSC_5381DSC_5390

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here