Baada ya Kusakata ndimba ufuoni kwa muda wa majuma kadhaa mjini Malindi Kenya, leo ni fainali ya ligi ilinayosimamiwa na kudhaminiwa na Kampuni ya Unga Wa Taifa, Mombasa Maize Millers. Halwa Asli na Majengo ni Mahasimu wakubwa kama vile Arsenal na Manchester United, Gor Mahia na AFC Leopard au Yanga na Simba. Leo hii tutajua superstar ni nani.

Ndimba inatarajiwa kuanza uwanja mkuu baharini karibu na Makavazi (Museum), Buntwani majira ya saa kumi unusu Alasiri (4.30pm).

Kulingana na habari tulizopata, Halwa Asli wamefanya Rebranding na kuanzia leo watakuwa wanajulikana kwa MALINDI UNITED TFC. inasemekana kutakuwa na ufunuzi rasmi wa ofisi zao.

IMG-20150321-WA0000 IMG-20150321-WA0001 IMG-20150321-WA0002 IMG-20150321-WA0003

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here