Baada ya show ya Kukata na shoka wiki iliyopita Pine Court Beach Bar, Kelsa ametoa siku maalum ya kuachilia ngoma ya mpya ya “Kaselfie”.

Tukizungumza kupitia mtandao wa Facebook, Kelsa aliniambia kuwa tayari kazi ishamaliza na anasubiri kuachilia ngoma hiyo tarehe 12 mwezi wa Agosti mwaka huu. Kufikia muda wa kuandika post hii, bado haikubainika kama kutakuwa na show maalun au atakuwa akiiachiliwa katika vituo vya Radio.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here