Pilka pilka zetu jana zilitupeleka pine ambapo tulikuwa na wasanii kutoka Watamu Lil Mizze na T. Bouy walifanya mambo. Hebu cheki picha