kila wiki, kama ilivyokuwa ada ya watu wa Malindi, Pine Court Beach Bar huandaa Karaoke Night siku za Jumatano. Wiki hii itakuwa very special, kwani kikundi cha wasanii kinachojulikana kama “Dirty Crew” watakuwa ndani kama Guest artist na vile vile watakuwa kwa mara ya kwanza wakiangusha video yao mpya.

Usikose kufika Pine Court Beach, opposite Nakumatt malindi kuanzia 9pm siku ya Jumatano 30th November 2016.

SHARE
Previous articleKaraoke na Kusua – Malindi Events
Next articleKaraoke na Dirty Crew After Party

Why have I been traveling so much? Because I have grown to like and love Malindi, I want to take risks, meet interesting people, challenge myself, explore the world, and learn more about myself in the process. This also helps me tell the story of how interesting Malindi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here