Baada ya Pilkapilka za wiki, mimi huyo mpaka Pine Court beach Bar kwa show ya karaoke ambayo huandaliwa kila wiki siku ya jumatano. Jumatano hii (7th December), ilikuwa na shesehe kibao kwani Msanii Beka the Boy alikuwa mgeni wetu rasmi katika show hiyo.Beka the Boy hakuwa msanii wa pekee kufika kwa hiyo show, bali kulikuwa na wasanii chungu mzima akiwemo Jokka Zunda, Young Njita, Dee Ommy, Angiey Fresh, Turner Boy, Kusua na Carol wandia. cheki mapicha hayo!!!

SHARE
Previous articleDirty Game by Dirty Crew – New Video
Next articleKaraoke na Angiey Fresh
Why have I been traveling so much? Because I have grown to like and love Malindi, I want to take risks, meet interesting people, challenge myself, explore the world, and learn more about myself in the process. This also helps me tell the story of how interesting Malindi.