Kama ilivyokuwa desturi yetu sis watu wa Malindi, Kila jumatano, tunajumuika Pine Court Beach bar kwa “Karaoke Night”. Karaoke night inakuwa ina mengi zaidi kando na karaoke. Inakuwa na nafasi ya kujivunia talanta za wasanii wa mji wa Malindi. Wiki hii haikuwa na tofauti. Tulikuwa na Msanii Angiey Fresh. Mwanadada huyu ni Mzaliwa wa Kisumu lakini ni mkazi wa Malindi. Amekuwa kwa muda wa miaka miwili sana akirekodi nyimbo zake katika studio tofauti tofauti katika mkoa wa pwani, Hivi sasa anavijunia kuwa na vibao visivyopungua nane. Cheki picha hizo .

SHARE
Previous articleKaraoke na Beka Boy – Pictures
Next articleKatoi wa Tabaka
Why have I been traveling so much? Because I have grown to like and love Malindi, I want to take risks, meet interesting people, challenge myself, explore the world, and learn more about myself in the process. This also helps me tell the story of how interesting Malindi.