Diamond aangusha kibao kipya kwa mtandao wa Youtube kiitwao “Nasewa nawe” cha mtindo wa mduara. Hii inekuwa surprise kubwa kwa watu kwani hakuna aliyedhania angeingilia upande huu wa mziki. Kibao hichi amemshirikisha mkongwe wa nyimbo za taarab Bi Khadija Kopa.

Sisi kama Malindians, tunatoa changamoto kwa Wasanii wa Malindi kenya na kilifi County kwa jumla kuimba nyimbo za mtindo tofauti tofauti kulingana na Soko la mziki. Je wewe una maoni gani?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here