Msanii Bryba Kenya ameahidi show babkubwa ndani ya Pine Court Beach ‪#‎Malindi‬. Malindians.com, waandalizi wa Show ya Karaoke wakiwa na Pine Court Hotel Malindi walipata kuzungumza na msanii huyo kutoka Watamu alisema kuwa atakuwa pamoja na Wasanii wa Malindi katika kuwafariji baada ya Kuondokewa na Msanii mwenzao Vincent Mbaru aka Kapombe aka Mc Coy. Inavyosemekana ni kuwa wasanii wengine kadhaa watakuwepo katika Karaoke ilikujumuika na Kupanga mikakati ya kuzidisha umoja Kati yao. Cheki hii na story zengine ndani ya Malindi Kenya

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here